ZA UKWELI SANA

BREAKING NEWZZ BARCELONA FC WANAKUJA BONGO 28/3/2015 UWANJA WA TAIFA NA NYOTA WA TANZANIA.

Mshambuliaji wa zamani wa fc Barcelona na timu ya taifa ya uholanzi patrick kluivert alizungumzia ujio wa magwiji wa fc barcelona nchini mwezi machi,mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa sports lounge uliopo jijini dar,pembeni ya kluivert ni mwenyekiti wa DRFA ndugu Almas kasongo.magwiji wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi machi tarehe 28.
  
Timu ya wachezaji nyota wa zamani wa Barcelona fc watacheza na wachezaji wa zamani wa Tanzania All stars march 28 kwenye uwanja wa taifa wa jijini,mwakilishi wa wachezaji wa zamani patric kuivert alisema jana kuwa mechi hiyo itawahusisha wachezaji nyota kama Edger,Davids,Gaiza Mandieta,Ludovick Guilly,Francesco coco na wengineo wengi waliopitiaklabu hiyo.

chanzo michuzi blog;

0 Response to "BREAKING NEWZZ BARCELONA FC WANAKUJA BONGO 28/3/2015 UWANJA WA TAIFA NA NYOTA WA TANZANIA."

Chapisha Maoni