ZA UKWELI SANA

walijua wanakunywa whisky kumbe............

jamaa mmoja amefikishwa mahakamani huko uingereza ,kitendo alicho kifanya wengi hawakukipenda,   nicolas stewart alitumia chupa zenye nembo ya smirnoff,jack daniels,pamoja na vodka ili watu wasigundue kwamba anachowauzia haikuwa whisky ,chupa hizo zilijazwa mkojo.mshitakiwa huyo alikamatwa siku ya pili baada ya kuwauzia wateja hao kwa wingi mkojo na maji ambapo alikuwa akitumia kipimo kile kile ambacho hutumika kupima whisky mwendesha mashtaka kabla ya  kutoa hukumu a lipokea majibu kutoka kwa mkemia mkuu ambapo alithibitisha unyama huo,jamaa huyo amehukumiwa jela miaka miwili.
  mmh haya majuu kweli hamnazo

0 Response to "walijua wanakunywa whisky kumbe............"

Chapisha Maoni