ZA UKWELI SANA

TID AMWAGIA SIFA HOUSE GIRL WAKE MTANDAONI

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini,T.I.D amemwagia sifa house girl wake mtandaoni kwa kuandika maneno haya yaliyoambatana na picha, im here with my house girl.....anajitahidi as long as my place is clean,aliandika T.I.D
Na mdada huyo anaedai ni house girl wake nae alipost picha kama hiyo aliyopiga na T.ID na kuandika maneno haya  .........feels good when a nigga gets laughing hard...aliandika dada huyo,lakini cha kushangaza kama ni house girl wake mbona wamekaa mazingira ya kiutata na jinsi walivyovaa....mmmh.

0 Response to "TID AMWAGIA SIFA HOUSE GIRL WAKE MTANDAONI"

Chapisha Maoni