ZA UKWELI SANA

STEVEN NYERERE AMBAMBIA MAMA LULU

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kama si ya kushangaza aliyekuwa raisi wa chama cha bongo muvi Tanzania,steven Mangele a.k.a steveNyerere ameonyesha kali katika sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha marehemu steven   kanumba uliofanyika katika ukumbi wa land mark hotel jijini dar,kitabu kilichopewa jina la THE GREAT FALLEN TREE,ambapo awali uliwekwa wimbo wa nani kama mama,ndio steve nyerere alipoamka na kwenda kumganda mama mzazi wa Elizabeth Michael LULU,mama LUCRECIA KARUGILA,steve aliganda kifuani kwa mama huyo kwa muda mrefu hali iliyowashangaza wengi ukumbini hapo na kuzusha maswali.
hembu tazama steve alivyo mbana huyo mama picha na global publishers


0 Response to "STEVEN NYERERE AMBAMBIA MAMA LULU"

Chapisha Maoni