ZA UKWELI SANA

R.I.P MUNA OBIEKWE

R.I.P muna obiekwe muigizaji maarufu wa kiume nchini  nigeria a mefariki juzi katika hospitali ya festac,jijini lagos baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu.kwa mujibu wa watu wake wa karibu muigizaji huyo alikuwa na tatizo la figo kwa muda mrefu ila alilifanya kuwa siri.kabla ya kutoa taarifaa  kwa raisi wa chama cha waigizaji nchini nigeria,IBINABO FIBRESIMA,MUNA aliwahi kuigiza filamu kama,eye of gods,unstopable,he lives in me,songs   of sorrow,enemies of love na zingine nyingi,bwana ametoa na bwana ametwaa.
                MUNA OBIEKWE

0 Response to "R.I.P MUNA OBIEKWE"

Chapisha Maoni