ZA UKWELI SANA

MIAKA 1O YA DBANJ KWENYE MUZIKI ANAKUJA NA HAYA

ukisikiliza wimbo wa tongola na why me na nyingine nyingi kutoka kwa star wa Nigeria,Dbanj utaweza kuona ukubwa wa msanii huyo afrika na duniani,jamaa ametimiza miaka 10 tangu aanze kufanya muziki,anafurahia matunda makubwa aliyoyapata kwenye safari hiyo,yapo mengi amepanga kuyafanya,story kubwa kuhusu yeye kwa sasa ni ile trailerpromo inayoonyesha matukio mengi ndani ya kipindi hicho ikiwemo show kubwa alizowahi kufanya,akiwa anaazimisha miaka kumi,Dbanj anatarajia kufanya mambo manne makubwa ambayo ni kurelease album itakayokuwa na hits zake zote,atatoa heads phones za beats by DRE,kuzindua reality show mpya ya adventure of Dbanj pamoja na uzinduzi wa msimu mpya wa pili wa reality show yake ya koko mansion.

picha za DBANJ

0 Response to "MIAKA 1O YA DBANJ KWENYE MUZIKI ANAKUJA NA HAYA"

Chapisha Maoni