ZA UKWELI SANA

jayz na beyonce kila mmoja macho kwa mwenzake

mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi na sababu kubwa ikitajwa kuwa ni simu za mkononi  hilo limethibika hivi majuzi ambapo imeonekana kwa nguli wa rap nchini marekani na mke wake beyonce wakiwa katika picha tofauti huku kila mmoja akiwa bize kufuatilia nini mpenzi wake anakifanya  inshu kubwa pia iliyopo kwenye mitandao kwa sasa pia ni rummors juu ya ujauzito wa bi dada beyonce


   abiria chunga mzigo wako sio bongo tu hata mamtoni pia ipo
 

0 Response to "jayz na beyonce kila mmoja macho kwa mwenzake"

Chapisha Maoni