ZA UKWELI SANA

HUYU NDIYE BINTI ALIYESABABISHA KIFO CHA BABA YAKE HUKO MAMTONI.

Anafahamika kwa jina la lordana chivu,kutoka huko nchini romania ni hivi majuzi,umeripoti mtandao wa the mirror,kwamba binti huyo alipiga picha za utupu za mitindo tofauti,tofauti,katika jarida moja nchini humo linalofahamika kama jarida la play boy,ndipo baba yake mzazi alipoziona picha hizo katika jarida alimkana kwamba siye mwanawe kabisa na aliamua kwenda kujiua kwa fedheha aliyojisikia.    
  kwakweli sikutegemea kabisa kwamba baba anaweza akawa na hasira kiasi hicho mpaka akajiua,alinukuliwa binti huyo.

chanzo cha habari hii ni millard ayo.
 

0 Response to "HUYU NDIYE BINTI ALIYESABABISHA KIFO CHA BABA YAKE HUKO MAMTONI."

Chapisha Maoni