ZA UKWELI SANA

WHO:WALIOFARIKI NA EBOLA WAFIKIA 3000.

    Shirika la Afya duniani limesema kuwa zaidi ya watu elfu tatu sasa wamedaiwa kufariki kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola katika eneo la Afrika magharibi kati ya visa elfu sita vya ugonjwa huo vilivyoripotiwa.

Liberia imeathiriwa vibaya na ugonjwa huo huku WHO ikisema kuwa kumekuwa na vifo 150 Vilivyotokea kwa siku mbili pekee
idadi hiyo inaweza kupuuzwa kwa kuwa watu wengi wanaogopa kwenda hospitalini.

Hazina ya fedha duniani IMF imeahidi dola milioni 130 kama msaada wa dharura kwa mataifa ya Liberia,Guinea,na Sierra Leone.

0 Response to "WHO:WALIOFARIKI NA EBOLA WAFIKIA 3000."

Chapisha Maoni