ZA UKWELI SANA

Wanafunzi wa shule ya msingi wafanya yao

Hawa ni wanafunzi wa shule ya Msingi Ally Hassani mwinyi iliyopo Magomeni,wamekutwa na camera ya jicho la harakati kitaa wakifanya mazoezi ya viungo ambapo wametubainishia kwamba mazoezi hayo ya viungo huwafanya wachangamke na kuepukana na magonjwa mbalimbali.

0 Response to "Wanafunzi wa shule ya msingi wafanya yao"

Chapisha Maoni