ZA UKWELI SANA

UMESIKIA ILE SHOW YA JOSE CAMELEONE AMBAYO KIINGILIO NI MILIONI MOJA.

    Kwa kumbukumbu zangu hapa Tanzania watu waliowahi kupiga show kubwa ni mwana FA na Diamond,ambazo nazo kiingilio hakija zidi laki moja na wasani wa nje kama akina Rick Ross the Bos,TI kiingilio kikiwa elfu kumi au elfu ishirini tu.

  Haya umesikia hii ya Jose Chameleone kupiga show ya milioni moja za Uganda sawa na.shilingi laki sita za kibongo,alipoulizwa alitoa sababu zifuatazo:-

(1)kuna matajiri ambao wanashindwa kuja kwenye shoo zangu na wanapenda sana kazi zangu....hawawezi kuja kwenye msongamano wa watu wengi na makamera..

(2)Halafu ulishawahi kujiuliza kama mbona wanaotengeneza Benzi hawauzi bei ya Toyota?so kama huna hela ya Benzi nunua Toyota,kuna watu unapozungumzia milioni moja ni kama elfu kumi au laki moja.......®®®®®®®®®®®®®©©©©®
Alibonga hayo cameleone alipokuwa akifanya interview na Blog yetu.

0 Response to "UMESIKIA ILE SHOW YA JOSE CAMELEONE AMBAYO KIINGILIO NI MILIONI MOJA."

Chapisha Maoni