ZA UKWELI SANA

SIDE BOY MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA.

    Msanii wa kizazi kipya Said Mustafa maarufu kama side boy mnyamwezi pichani amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa.

mmoja wa marafiki wa msanii huyo,PNC ambaye naye ni msanii wa bongo fleva amesema Side boy Amefariki katika hospitali ya St.Willburg iliyopo Nyangao Lindi Bado haijajulikana juu ya taratibu za mazishi ya side boy aliyekuwa akijiita raisi wa kusini. Enzi za uhai wake side boy alitamba na nyimbo kama kua uyaone alio mshirikisha Ally kiba,Usimdharau usiye mjua aliopewa tafu na Ney wa Mitego upo kwenye runinga mbalimbali kwa sasa na Hujafa hujaumbika aliomshirikisha Best Naso. ®®®®®®®®®®®®®®®®®® Bwana ametoa bwana ametwaa r.i.p side boy mnyamwezi.

0 Response to "SIDE BOY MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA."

Chapisha Maoni