ZA UKWELI SANA

Raisi wa Shirikisho La Wasanii Tanzania Apigwa chini.

Raisi wa shirikisho la wasanii nchini ndugu Ado November, ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili amefutwa kazi rasmi,na nafasi yake Kushikiliwa na mwanamuziki Stara Thomas.
 

  Ado Novemba,ambae alikuwa raisi wa shirikisho la wanamuziki wa Tanzania mwanzoni alikana na kusema hatua hiyo ni Batili,lakini Katibu wa shirikisho hilo jina tunalo,amesema hatua hiyo imefikiwa na shirikisho hilo baada ya shirikisho kupotelewa na milion 11.1 ambazo zilizichangishwa ili kuweza kumnunulia mjane wa marehemu mzee Gurumo.

.marehemu Mzee Gurumo.

0 Response to "Raisi wa Shirikisho La Wasanii Tanzania Apigwa chini."

Chapisha Maoni