ZA UKWELI SANA

DAKIKA 3 ZA WEMA SEPETU.

  Ilikuwa ni dakika tatu za mwanadada diva katika tasnia ya filamu bongo na mpenzi wa mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Nasibu Abduli a.k.a diamond platnumz,alipohojiwa na mwandaaji wa kipindi cha radio cha Clouds fm cha u hed Sudi brown,kuhusu tuhuma zinazo sambazwa kwenye magazeti na mitandao kwamba aliyekuwa rafiki yake kabla ya kuvurugana Kajala Masanja kwa sasa hivi yupo,vizuri kiasi kifedha kuliko yeye na kwamba anaweza hata kumuajiri anazungumziaje?
    Wema amesema hilo linawezekana na kuhusu kama akiajiriwa na Kajala alipwe shilingi ngapi amesema kwamba yeye yupo tayari kufanya kazi kwa Kajala bure bila hata malipo yeyote kabisa na Alipoulizwa kuhusu tetesi za mpenzi wake kutoka kimapenzi na msanii Menina amesema yeye halifahamu hilo na hata kama ikiwa hivyo yeye hajali alimaliza kwa kusema"Sudy bwana"

Ni haki yako kupata kila habari inayotokea nje na ndani ya Bongo mtu wangu.

Madam Wema Sepetu Beuty Onyinye.

0 Response to "DAKIKA 3 ZA WEMA SEPETU."

Chapisha Maoni