ZA UKWELI SANA

Tanzania yaomba Uenyeji kombe la dunia.

Shirikisho la soka nchiniTFF imeeleza nia yake ya kutaka kuomba uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2017 baada ya Libya kunyang'anywa uenyeji kutokana na machafuko yanayo endelea nchini humo katibu wa TFF Mwesiga Selestine amebainisha hayo jana kwenye ofisi za TFF.
    Wanafanya mpango kuwasiliana na shirikisho la soka Africa,ili nchi iweze kupata uhalali wa kuwa wenyeji ni lazima wawe na Vigezo vinavyo takiwa ikiwa ni pamoja na kuwa na viwanja vitatu vyenye hadhi ya kitaifa,kama Tanzania itapata nafasi hiyo itabidi ifanye marekebisho ya viwanja vyake.
   Kwa upande mwingine kamati ya TFF imemchagua bwana Michael Wambura kuwa mkurugenzi wa Mashindano.

0 Response to "Tanzania yaomba Uenyeji kombe la dunia."

Chapisha Maoni