ZA UKWELI SANA

SHAKIRA AKOPI NA KUPESTI

Loca (sparnish versiom) ilikuwa ni kazi ya Mtungaji mwingine anaitwa Ramon Arias Vazquez.Jaji Alvin Hellerstain alisema toleo la wimbo Loca la lugha ya kihispania 2010 ilikiuka haki za umiliki wa mwimbaji Ramon Arias Vazquez.
   wimbo huo ulikuwemo kwenye Albam yake ya mwaka 2010 sale el sol na uamuzi unatarajiwa kuelekeza fidia atakayolipwa kwa mlalamikaji.

0 Response to "SHAKIRA AKOPI NA KUPESTI"

Chapisha Maoni