ZA UKWELI SANA

Raisi Kikwete Sokoni Kibaigwa.

  mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala yaliyopo,Ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza,ambayo imekuwa ikileta matukio mazuri kila mwaka.

Picha kwa hisani ya Ikulu.

0 Response to "Raisi Kikwete Sokoni Kibaigwa."

Chapisha Maoni