ZA UKWELI SANA

MAWE YAPOROMOKA NA KUUA MWANZA.

kwa hisani ya Millard Ayo.
   Ni siku chache tu zimepita tangu nitoke mwanza kwenye fiesta na mara zote nilizowahi kufika mwanza sikuwahi kufikiri kwamba siku moja yale mawe yanayozunguka jiji la mwanza au zile nyumba zilizojengwa kwenye mawe yangeweza kudondoka na kudhuru watu.
   Tunawapa pole ndugu zetu wa Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A kwa kupoteza ndugu zao wa nne waliokufa kwenye ajali hiyo.

0 Response to "MAWE YAPOROMOKA NA KUUA MWANZA."

Chapisha Maoni