ZA UKWELI SANA

CHEKI MJENGO WA JUSTINE BIEBER

Hivi sasa justine Bieber anaweza kujiachia kwenye Club bila kupigwa picha na mapaparazi kwa sababu nyumba yake ina night club na Bar tatu ndani yake.
  Japokuwa pesa alizolipa Bieber kumiliki nyumba hii haijawekwa wazi,sifa zake ni kuwa na ukubwa wa square meter 16000 vyumba vya kulala 10,gym kubwa bwawa la kuogelea,movie theatre yenye Screen ya inch 160 na vitu vingine.

Beaber ameshahama kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuhamia kwenye nyumba hii mpya aliyonunua.

Tizama hapa picha za mjengo huo mpya.

0 Response to "CHEKI MJENGO WA JUSTINE BIEBER"

Chapisha Maoni