ZA UKWELI SANA

R.I.P KAPTENI JOHN KOMBA

Mapema jana tumepokea taarifa ya kifo cha mwana ccm,na mbunge wa Mbinga magharibi john komba,ambapo kwa taarifa za awali zinadai alipandwa na presha ghafla na kuwahishwa katika hospitali ya TMJ na baadae kufariki dunia,Komba atakumbukwa kwa uimbaji na utunzi wa nyimbo za chama cha mapinduzi enzi za uhai wake,ameacha mjane mmoja na watoto 11,mungu ampumzishe kwa amani taratibu za mazishi hadi sasa zinaendelea huku raisi kikwete akituma salamu za rambirambi kwa familia yake,mamia wazidi kufurika nyumbani kwake ulipo msiba,mpaka sasa mwili wake umehifadhiwa hospitali ya jeshi ya lugalo jijini Dar.

 

0 Response to "R.I.P KAPTENI JOHN KOMBA"

Chapisha Maoni