ZA UKWELI SANA

PAKa MWeusi akatiza uwanjani CampNou,Wakati Barca wakishinda 3-0 LALIGA

   Barcelona imeanza vyema la liga kufuatia ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Elche uwanja wa Camp Nou usiku wa kuamkia leo.
   Katika mchezo huo,kiungo wa Barca,Javier Mascherano,alitolewa nje kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza,kocha mpya Luis enrique akiongoza timu kwa mara ya kwanza,alionyesha mwanzo mzuri.
  Wafungaji wa timu ya Barca ni Lionel Messi dakika ya 42 na 64 Munir El Haddi Moham dakika ya 46.

0 Response to "PAKa MWeusi akatiza uwanjani CampNou,Wakati Barca wakishinda 3-0 LALIGA"

Chapisha Maoni