Mara ngapi umejiuliza umuhimu wa hayo mawazo hasi yanayokusumbua,kama uwoga wa kufanya jambo,kukata tamaa na kuwa na imani ya kushindwa ...
Home » Uncategories » LULU ASEMA MABADILIKO KWANZA MAMBO MENGINE BAADAE
LULU ASEMA MABADILIKO KWANZA MAMBO MENGINE BAADAE
Msanii wa filamu bongo elizabeth michael,amesema yeye yupo ukawa na anasapoti ukawa mwanzo mwisho kwake mabadiliko kwanza,mambo mengine baadae amesema wasanii wenzake walionunuliwa na chama cha ccm waache wanunuliwe yeye anataka mabadiliko kwanza.
0 Response to "LULU ASEMA MABADILIKO KWANZA MAMBO MENGINE BAADAE"
Chapisha Maoni