
baada ya makaada mbalimbali wa chama cha mapinduzi ccm kujitokeza na kutangaza nia zao za kuwania kiti hicho,mwanasiasa mkongwe nchini ambaye kwa sasa anapenda na ana sisitiza kuitwa ndugu kingunge ngombare mwiru,badala ya mheshimiwa kingunge amenukuliwa akibeza mchakato huo kwa madai kwamba wengi wao wamejawa uchu wa madaraka na sio nia ya ku
tumikia wananchi wengi wao wanatumia fedha na mali kushawishi wananchi
0 Response to "kuelekea uchaguzi mkuu 2015"
Chapisha Maoni