HUU NDIO UTAJIRI WA MASANJA MKANDAMIZAJI
Emannuel mgaya a.k.a masanja mkandamizaji inasemekana ndiye muigizaji anayeongoza kwa utajiri bongo,kwa mujibu wa upekuzi wetu uliotuletea ubuyu huo,inasemekana masanja ana miliki magari sita ya kifahari,nyumba tatu kali zikiwa ni pamoja na ghorofa mbili,pia jamaa ana miliki kampuni yake kubwa tu ya ulinzi,na ana hekari hamsini za mpunga huko kwao mbeya,chanzochetu pia kimebaini kwamba jamaa chanzo kikuu chake ni komedi,ukiachilia mbali jamaa ni muimbaji wa gospel na pia ni mchungaji msaidizi katika kanisa la mito ya baraka jijini dar,kwa mujibu wa upekuzi wetu umebaini masanja ndiye muigizaji anayeongoza kwa mpunga bongo akifuatiwa na Dotnata,Dokta cheni,na mzee Majuto,chanzo kimedai masanja ndiye muigizaji mjanja bongo wacha wasanii wanaojidai vikampuni vyao vya muvi zisizo waingizia mpunga wowote wa maaana mwisho wa siku.Wasanii wa bongofleva wanaongoza kwa mpunga ni judith Wambura jaydee,Nasibu Abdul diamond platnumz,na Joseph Haule profesa JAY
Posted by Unknown
on Jumapili, 18 Januari 2015,
Add Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 Response to "HUU NDIO UTAJIRI WA MASANJA MKANDAMIZAJI"
Chapisha Maoni