ZA UKWELI SANA

UNAAMBIWA HUYU NDIYE MSICHANA MZURI ZAIDI KULIKO WOTE AFRICA MAGHARIBI.

Jarida la burudani la AL-listers limemtaja star wa movie juliet Ibrahim kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Africa ya magharibi.juliet ambaye pia anafahamika kama juliet safo ni mghana aliyechanganyika  kutoka kwa baba pamoja na mama mwenye asili ya ghana na liberia.kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na crime to crist,Honor my will,marriage of sorrows na nyingine nyingi.

0 Response to "UNAAMBIWA HUYU NDIYE MSICHANA MZURI ZAIDI KULIKO WOTE AFRICA MAGHARIBI."

Chapisha Maoni